Recent content by tinoelias

  1. T

    Mimba kutunga nje ya kizazi

    Mara nyingine ni abnormality kwenye hizo tubes lakin cause kubwa ni kwa mama kuugua mara kwa mara magonjwa ya zinaa au augue afu astibiwe kwwa mda mrefu pia yaeza kuwa cilia immobility kwenye fallopian tubes ambazo hizi cillia ndo hulisukuma yai kutoka kwenye ampulla kwenda kwenye mji wa uzazi
  2. T

    Mimba kutunga nje ya kizazi

    Hiyo hali inaitwa ectopic pregnancy hii hali kwa ufupi ni pale fertilization inapofanyika nje ya mji wa uzazi yaeza kuwa kwenye mirija (fallopiantubes) au mara nyingine tumboni kabsa (peritoneum cavity)
  3. T

    Umuhimu wa yai kama kifungua kinywa

    Blood vessel constriction obesity heart deseases over weight ndo utakachopata baada ya kula hayo mayai matano kila siku
  4. T

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Everything has ts risk bt as long as t goes well t will b successfull
  5. T

    Damu Group O positive

    Hakuna kundi la damu linalosemwa huwa linashambuliwa sana na magonjwa but body immunity ndo ina matter group o ni group zuri cause ni universal donor but t does recieve from ts own group also the toughest group to find ts donor or recipient ni group lolote ambalo ni rhesus negative samahani wana...
  6. T

    Ultra- Sound kwa wanawake

    Naomba samahani kwa uelewa wangu mama anapokuwa mjamzto hupatiwa huduma bure kulingana na sera na taratibu za nchi sijajua kwa hosp. Za binafsi
Back
Top Bottom