Leo napenda kuangalia vitu vichache tu hapa
1. Kuna Makala ambazo hazitundishi na zimeshinda
2. Kuna uandishi usio na tija na Makala zimeshinda
3. Makala zilizoshinda nyingine hazina vigezo kulingana na vigezo vya ushindi, Makala Ina kura Moja, itashindaje?
4. Kwanini mchague majaji nyie...
Kwa mwendo huu sitakuja kushiriki shindano lolote la JF....kwa maana naona Kuna post ambazo hazitundishi zimeshinda ..ilhali za kufundisha hazijashinda
Nakupa kura bana....naona stiri yako inataka kufanana na yangu ya kulima pilipili....lakini Kuna watu wakiambiwa hata mambo yapo wanafikiri ni fix....hayajawakuta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.