Recent content by tee smiley

  1. T

    SoC02 Umuhimu wa Chanjo

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeainisha kuwa "kusitasita kwa jamii katika masuala ya chanjo" kumekua ni tishio kubwa kwa afya duniani. Hii husababishwa na watu kukataa au kuchelewa kuchanjwa ilihali wana uwezo wa kupata chanjo. Chanjo ni dutu ya kibiolojia inayotumika kuiwezesha kinga ya...
Back
Top Bottom