Recent content by tashyno abas

  1. T

    JamiiForums Tanzania Acid

    Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Gesi tumboni

    Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maumivu kwenye koo wakati wa kuongea

    Naisi maumivu nikiongea kooni. Ni hospital gani mzr ya koo au ni daktari gani mzr wa koo. Ni mwaka sasa naumwa huu ugonjwa! Naitaji msaada hata mwenye anajua dawa mzr ya asili aniambie.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya koo

    26 hapana sinywi
  5. T

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya koo

    Kawaida Tu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya koo

    1. Mbele ya shingo yangu hupata moto mpka kutoka na jasho 2.26 3. Inafika miezi 11 4 taratibu 5. Yanapungua 6. Hapana 7. Hapana 8. Ndio culture na kile cha kamera ambayo unainginzwa hadi tumboni nilipima wakaniambia nipo fresh 9. Ndio
  7. T

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya koo

    Hapanaa sijawai kufanyaa iyo inshu kabsaa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya koo

    Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni. Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu. Naombeni ushauri wenu wakuu au mwenye kujua doctor mzr wa koo! Aniambie
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nipe namba ako kaka
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nikiongea naisi maumivu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam. Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naitahitaji cover ya sonny z3min

    Tashyno
Back
Top Bottom