Recent content by Tariq hassan

  1. Tariq hassan

    Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

    Nimeamua kupima baada ya kupata dalili zinazoashiria ukimwi Kwa mda wa mwezi mmoja sas. Nmeumwa kichwa na kupata homa, mwili kuchoka, kutokwa vipele vyekundu pamoja na maumivu ya joints. Nimepima malaria, UTI na typhoid lakn vyote Sina. Nmefanya full blood picture, H.pylori antigen, urinalysis...
  2. Tariq hassan

    Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

    Daah asante sana. Nilikuwa nawaza sana Yan kma Nina ukimwi au vip
  3. Tariq hassan

    Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

    Nimepima Tena imekuwa kma inavyoonekana apo. Mnisaidie kufafanua Hayo majibu
  4. Tariq hassan

    Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

    Mnisaidie kusoma majibu ya hicho kipimo.
Back
Top Bottom