Habari Yako mpendwa msomi, natumai uhali njema. Nataka nitumie fursa hii kukupa muangaza ya mengi wanayopitia vijana wenzangu kwani mengi yanaumiza na kusikitisha. Natumai mwisho wa makala hii utapata kujua mazingira yanayomzunguka kijana katika uchumi unaodoroda na maamuzi magumu anayoyachukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.