Recent content by tajiridalali

  1. tajiridalali

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini mtaa wa mtumba

    Kitalu ED Matumizi ya kiwanja: MAKAZI NA BIASHARA Ukubwa: SQM 2,400 Bei: 25,000,000 Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa HOUSING ESTATE Kiwanja kipo mita 400 kutokea barabara kubwa ya kuelekea Dar es Salaam ukitokea Dodoma.
  2. tajiridalali

    Plot4Sale Nauza Mashamba ya kilimo na ufugaji Kisarawe, Pwani

    Mashamba yanapatikana kata ya mafizi, kijiji cha ving'andi na zipo zaidi ya hekari 300 zilizopimwa, Mashamba haya mazuri kwa kilimo na bei yake kwa kila hekari ni laki nne, 400,000/= Maji yanapatikana masaa 24 katika mto ruvu na mashamba yamepakana na mto ruvu, Kibali cha kutumia mto ruvu kipo...
  3. tajiridalali

    Plot4Sale Mashamba yanauzwa Dodoma Mjini mtaa wa ng'ong'ona umbali kutoka mjini ni km 17 tu

    Viwanja vinauzwa Dodoma mjini bei rahisi mno
  4. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Nimekiwekea alama boss wangu namba 771 angalia hapo
  5. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Kiwanja kipo NALA IFM UKUBWA SQM 786 Status; Bado hapajajengeka pamepimwa na nyaraka za umiliki ni barua kutoka jiji Bei milioni moja tu ( 1,000,000) Mawasiliano ni 0693084522
  6. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    MTUMBA, BLOCK LY PLOT NO 289 UKUBWA SQM 892 UMILIKI WA KIWANJA NI WA HATI KABISA, WASILIANA NAMI KWAAJILI YA BIASHARA BEI YAKE 6,500,000 MAWASILIANO YANGU 0693084522
  7. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    MKALAMA, BLOCK N PLOT NO 64 UKUBWA SQM 883 UMILIKI WA KIWANJA NI WA OFA MAWASILIANO YA SIMU 0693084522 Bei milion tisa tu ( 9,000,000) NYUMBA ZIPO JIRANI NA HUDUMA ZA KIJAMII KAMA MAJI NA UMEME VIPO KARIBU, PANAFIKIKA NA GARI.
  8. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Jamii forum ni kugumu sana, shida watu uelewa tofauti hata jambo liwe sahihi kiasi gani mtu kubisha ni jadi yake kwa kuwa ndiyo nchi yetu ngoja tuvumilie tu
  9. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Sawa mkurugenzi wa jiji, [emoji122] ukiwa hujui kitu ukae kimya siku nyingine utapata matatizo kwa kupotosha umma,
  10. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Kumbuka ardhi haina biashara za ubabaishaji huwezi kumpeleka sehemu ambayo siyo wakati mawe, michoro na nyaraka vinaonyesha sehemu husika, Jitahidi kuboresha ili na wenzako waelewe hakuna mbabaishaji kwenye kitu serious kama hususani kipindi kigumu cha fedha hiki
  11. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Wewe ndiyo hujaelewa mchoro unaweza kuwa surveyor mzuri ila usifikie utendaji wangu wa kazi pia, mimi pia ni surveyor labda nikufafanulie viwanja vipo 17 na michoro yote ipo na ni sehemu tofauti eneo ni hilo hilo, unaweza kwenda kuhakiki na ukaona ukweli huu, nilichokifanya ni kukupa eneo lenye...
  12. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Wewe umehitaji uone ramani ambayo ni approved nimechukua picha kwa juu ione, ile ni TP iliyoandaliwa kabla haijapelekwa kwaajili ya kuweka plot no, ndani. Nikakutumia ambayo haina uchafu ndani yake uone mkao wa viwanja, kama upo serious njoo nikupeleke site then kila kitu uone mwenyewe kikiwa...
  13. tajiridalali

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

    Sorry mkuu, mfano ungehitaji ungepata kama hii, hakuna kinachofichika katika ardhi
Back
Top Bottom