Forums
Trending
New Posts
Log in
Register
Style variation
System
Light
Dark
Trending
Search
Search
Search titles only
Note
By:
Latest activity
Register
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
Menu
Log in
Register
Navigation
More options
Style variation
System
Light
Dark
Contact us
Close Menu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Synthesizer's latest activity
Synthesizer
replied to the thread
Iweje Mtanganyika akiagiza mafuata ya kupikia kutoka Zanzibar alipe ushuru na kodi?
.
Nitakuelewesha Mkuu. Hapo nyuma Zanzibar walikuwa na utaratibu wa kutoza ushuru kama sehemu ya Tanzania. Viwango vya ushuru vilifanana...
Mar 18, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!
.
Kuna jamaa aliomba kazi ya kuuza duka. Sasa bwana baadae akawa anauza bidhaa zake dukani sambamba na za bosi wake. Yaani bosi wake...
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!
.
Sasa kama huoni laki mbili inatosha si nenda ukaajiriwe wanakolipa zaidi au kaanzishe biashara yako? Wewe ulikubalic mshahara wa laki...
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!
.
Ofisini kwetu hadi CCTV ziliwekwa jikoni. Tunatumia maziwa ya unga. Sasa utakuta mtu anaweka vijiko vikubwa sita vya maziwa...
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!
.
Kusimamia? Mie? Wezi?
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!
.
Ukitaka kumficha mswahili kitu kiweke kwenye maandishi. Unaweza kumpa karatasi ya paragraph mbili kumweleza hazina ilipofichwa na...
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!
.
TRA waliidhinishiwa kulipwa mishahara mikubwa sana kulinganisha na taasisi nyingine za serikali eti ili wasiwe wanapokea rushwa:D
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Serikali ipongezwe kwa kuongeza Mabasi Mwendokasi ruti ya Kimara tena yasiyo na rangi ya kijani maana Ruti hiyo haipendezwi na rangi ya kijani
.
Mkuu, mimi sio wa kuongea kwa makisio. Haikuwa coincidence mabasi kuja ya kijani kipindi cha uchaguzi. Na kama unaamini ilikiuwa...
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!
.
Mkuu, serikali inatoa maelekezo mshahara wa kulipa sekta binafsi, na unauzidi ule wa serikalini. Kama wanakunyonga katoe taarifa vyombo...
Mar 17, 2026
Synthesizer
replied to the thread
Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?
.
Okay, mie nina shahada ya Kiswahili na mtu ambaye hana hiyo shahada ya Kiswahili anauliza ndio inanifanya nione nimeelimika? Sasa wewe...
Mar 17, 2026
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
Accept
Learn more…
Back
Top
Bottom
Menu
Forums
New posts
Log in
Register