*MASHAMBA YANAUZWA WILAYA YA MKURANGA NA BUNGU-MKOA WA PWANI*
Je una ndoto za kua mfugaji wa Kuku,Mbuzi,Ngo'mbe n.k au kua mkulima katika mazao ya biashara ya muda mfupi kama vile Matikiti, Mananasi,Mihogo, Nyanya chungu, Nyanya maji, Bamia Miembe,Michungwa N.k
Basi suluhisho la kutimiza ndoto...