Recent content by steagle

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mahali pa Kubadili Pesa ya Israel

    Hapana ndugu nilichoandika ni ukweli kabisa..kikubwa naombeni sana kwa yoyote ambaye anaweza kunisaidia hii simu nayoitumia hapa kuandikia hzi jumbe ingekuwa na thamani nzuri ningeweza hata kuiuza nipate hiyo hela ila hata nikisema nifanye hvyo hakuna anayeweza kuinunua kwa ambavyo hali yake ilivyo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mahali pa Kubadili Pesa ya Israel

    Wanajamii, niliomba msaada ni sehemu gani nitaweza kubadilisha pesa ya Israel ambayo kuna mtu amenipatia kama sehemu ya msaada wake. Ila mimi binafsi nina tatizo naombeni yeyote anayeweza kunichangia tafadhali. Nimeona hapa ndio sehemu pekee nitakayoweza kupata msaada, baada ya kujaribu sana...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mahali pa Kubadili Pesa ya Israel

    Ahsante kaka maana nilikuwa nina shida sasa kuna mtu kanipa hiyo hela ya israel kaniambia nikaichange ila nimekwama kilaa.sehemu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mahali pa Kubadili Pesa ya Israel

    Wanajamii naombeni kuuliza ni wapi naweza kubadili pesa ya Israel. Nimejaribu kwenye baadhi ya biro na benki, lakini hawabadili. Naombeni anayefahamu sehemu ya uhakika anielekeze.
Back
Top Bottom