Ste's Honey ni kampuni mpya yenye makao makuu Manyoni, Singida inayosambaza asali za nyuki wakubwa na wadogo kwa bei nafuu. Asali zetu hazijachanganywi na kitu chochote na wala hazichemshwi.
Tunauza kwa rejareja na jumla. Tuna chupa zenye nembo (branding) za ujazo wa lita moja, nusu na robo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.