Recent content by Stannyford

  1. Stannyford

    Nauza set ya vifaa vya carwash

    Kodi ni 40 kwa mwezi brother ipo kibaha barabara ya morogoro ni njiani kabisa (barabara kubwa)
  2. Stannyford

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Bei elekezi ni million 2.3 mzee ila Kuna punguzo pia kwa upana zaidi nicheki watsup au nipe no nikucheki
  3. Stannyford

    Nauza set ya vifaa vya carwash

    Karbu sana brother
  4. Stannyford

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Sababu za kuiacha ni kuwa nahamia mkoani mzee lakn zile changamoto nyingi za kibiashara nilishazimudu ....faida ipo maana ndo inasapoti maisha kupata details za ndani sana nicheki brother
  5. Stannyford

    Nauza set ya vifaa vya carwash

    2.3M ila Kuna Mazungumzo boss karbu sana
  6. Stannyford

    Nauza set ya vifaa vya carwash

    2.3 M ila Kuna Mazungumzo boss
  7. Stannyford

    Nauza set ya vifaa vya carwash

    Hahahah mambo ni mengi brother
  8. Stannyford

    Nauza set ya vifaa vya carwash

    Naingia mkoani brother kwo itabaki bila msimamizi
  9. Stannyford

    Nauza set ya vifaa vya carwash

    N A U Z A Car wash set (vifaa vya car wash ) Jipatie 1.mashine za kuoshea zipo mbili (kazi kazi) hapo hukwami masaa 24 2.mashine ya kunyonya vumbi Lita 20 3.tank la Maji Lita 2000 4. Bango la car wash yenyewe 5.viti vya wateja pamoja na meza ya kuwekea vitu vidogo vidogo.+ Polish na...
  10. Stannyford

    Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    N A U Z A Car wash set (vifaa vya car wash ) Jipatie 1.mashine za kuoshea zipo mbili (kazi kazi) hapo hukwami masaa 24 2.mashine ya kunyonya vumbi 3.tank la Maji Lita 2000 4. Bango la car wash yenyewe 5.viti vya wateja pamoja na meza ya kuwekea vitu vidogo vidogo. Napatikana dar es salaam...
Back
Top Bottom