kuna mizunguko mingi zaidi ya unavyofikilia ndio maana natafta ushauri juu ya side effects kwanza kabla cjafika huko kusign kwanza naenda kufanyiwa operation liwalo naliwe.
pia
account inatakiwe iwe vizuri, hamna mtu anaetakiwa kunitegemea kwa mda wote wa matibabu na hata % ya successful...
hayo yote nimeyafikilia shda n wapi nafanyiwa na nan ananifanyia maana operation nyingi apa bongo hua zinazokua successful n chache nazo hua wanatoka na shda nyingne za hovyo zaidi
sounds kama mko wengi, kwa mazoezi hayapunguzi uzito yanaimalisha mwili plus msosi mkali utakaohitajika kufidia nguvu iliopotea mda mnafanya mazoezi baada ya hapo unapumzika umechoka, mtazidi tu kunenepeana.
jaribuni. kumaintain kwanza chakula, unywaji wa maji uwe kawaida chakula kidogo na...
operation nayo kaka gharama kubwa ni mda mref wa kubaki kitandan min 6months, najaribu kuikwepa ndio maana nimeileta humu hio hoja nataka kupambana t na symptoms mda naangalia nn cha kufanya. haijawa critical kiasi hicho.
madhara yapo ila cjui sa kama yataendelea au laa maana vimeharibika vingi na vinaendelea kwasabab ya symptoms ninazoonyesha hasa memory loss, confusion na balance kidogo kunamda nakua kama naenda kuanguka hv.
nilitaka tu akapime ili majibu apate kwanza kutoka kwenye vipimo, ndio tuanzekuongea afanye kwenye tatizo linalojulikana, hata kwaelimu tu siombaya kwa maelezo na kutokua suprised na majibu.
na pia kuna watu wanao taka majibu straight kwamba nn shda na matibabu yake yakoje hasa kwa shida ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.