Pole sana! Mpeleke shule za watu wenye usonji watamtrain atadevelop taratibu! Usonji autaki haraka!Muombe Mungu maisha Malefu umtunze mwanao!
Mfundishe kama kaweza kula ataweza kufanya na kitu kingine! Mwenyezi Mungu anawapa wazazi strong anajua utaweza ilo jaribu ndio maana kakupa mtoto wa...
Tatizo ukiliwahi kwa kufanya therapy na vyakula matunda na dawa japo izi dawa aziponeshi ila zinatuliza vile vile moods!
Mimi huwa naagiza nje na zinagharama mpaka kufika Tz !Kuna vitaminiD3, ADHD fish oil omega 3, magnesium glycinate. Hii husaidia kupata usingiz , magnesium citrate hii...
Uyo mtoto mwenye miaka miwili anapenda kucheza mchezo gani!? Anapenda kuzunguka? Ukiwa unamuongeleshwa anakuangalia usoni? Ukimuita jina lake anageuka au anakuja kwa wakati? Anapenda kuchezea taili za toi au kuona taili ikizunguka? Ukimkataza kucheza kufanya kitu anarudia tena kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.