Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini.
Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika.
Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni.
Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “ Baba ninaweza kukuuliza swali?”
Baba akajibu, “ndio, unaweza ni nini...
Katika vipindi vyote ambavyo binadamu wameishi hapa duniani, miaka mingi sana mpaka kufikia sasa, hakuna kipindi kizuri kuingia au kuwa kwenye biashara kama kipindi tunachoishi sasa.
Ni upendeleo wa kipekee kwetu sisi kuwa hai kipindi hiki na kama tutashindwa kukitumia vizuri basi tutakuwa...
Siri ya Utajiri ni ubahili,hii ni kauli ambayo wengi wamekuwa wakiitumia, na hufanya zoezi la kutengeneza utajiri kupewa taswira hasi.
Kwa sababu ubahili ni kubana sana fedha na kujinyima, basi wengi huona hayo siyo maisha ya kuishi. Kwa nini ujitese kutengeneza utajiri wa baadaye badala ya...
Mafanikio sio mchezo wa kubahatisha.
Ni mchezo wa kuzifuata kanuni na kuziishi kila siku.
Hakuna kingine kinachowatofautisha wanaotajirika na wanaobaki masikini kama tabia.
Hivyo kwa kuzijua tabia za kitajiri na kuziishi kwenye maisha yako ya kila siku, unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufikia...
Hakuna anayeweza kubisha kwamba kumekuwa na ukuaji mkubwa sana wa teknolojia kwenye zama tunazoishi sasa.
Kuna maendeleo makubwa ambayo yametokea tangu kuanza kwa karne ya 21 ambayo hakuna aliyetegemea yangetokea kwa kasi kubwa hivyo.
Nani alidhani angeweza kuwasiliana na mtu aliye bara la...
Hofu imekuwa kikwazo kwako?
Adui mkubwa wa mafanikio ya watu wengi ni hofu.
Wewe mwenyewe ni shahidi.
Hofu imezuia watu wengi sana kuweza kuchukua hatua ili kufikia mafanikio kwenye maisha yao.
Watu wanakuwa na mipango mizuri watu wanajua ni nini wanatakiwa kufanya ila inapofika wakati wa...
Sio siri tena kwenye hii karne ya 21,
Mambo yamebadilika sana.
Sahau kila kitu ulichowahi kusikia kuhusu kulipwa.
Sasa kuna njia bora ya kulipwa zaidi kuliko ilivyokuwa imezoeleka karne ya 20.
Ni njia ambayo haizungumzwi sana lakini inafanya kazi kwenye hii karne ya 21.
Haijalishi...
Nenda shule, soma kwa bidii na ufaulu vizuri.
Utapata kazi inayokulipa vizuri na utakuwa na maisha mazuri.
Huu ulikuwa ushauri maarufu na uliofanya kazi kwenye karne ya 20 na muongo wa kwanza wa karne ya 21.
Lakini sasa mambo yamebadilika kabisa,
Waliofuata ushauri huo ni wengi, wameenda...
Njia Rahisi Itakayokusaidia Kukabiliana Na Rafiki Hasi Kwenye Maisha Yako.
Takwimu zinaonesha kwamba,
Wastani wa watu wanne (4) unaojihusisha nao kwa siku wana mitazamo hasi.
Unaye rafiki yeyote ambaye ni hasi?
Je, unaye rafiki ambaye ukikaa naye unaishia kujisikia vibaya?
Je, unaye rafiki...
JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi.
Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa?
Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini?
Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo.
Angalia...
Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako?
Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani?
Je mwajiri wako amekuwa hakuongezi mshahara licha ya gharama za maisha kupanda?
Na je ungependa kuwa na...
Rafiki yangu mpendwa,
Hivi unajua kwamba una wajibu wa furaha yako kwa 90%?
Vipi kama leo nitakuambia wewe ndiye mkurugenzi wa maisha yako?
Huku ukiendelea kutafakari tujikumbushe kutoka kwenye hadithi ya kijana aliyemsaidia kipepeo kutoka kwenye buu lake.
Siku moja, kijana mmoja alimpata...
Ulishawahi kufikiria Hilo Lingetokea?
Mtaalamu ALBERT EISNTEIN alishawahi kusema” Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutumia kiwango kilekile cha uwezo wetu wa kufikiri tulichokuwa nacho wakati tunapata tatizo hilo”.
Ukweli ni kwamba kila changamoto inayokukabili leo inahitaji uwezo mkubwa zaidi wa...
Ni masaa mangapi unatumia kila siku kuzurura kwenye mitandao ya kijamii?
Unapaswa ufahamu hili miaka 20 iliyopita, kabla ya mitandao ya kijamii na simu janja hazijaingia kwenye maisha ya watu, mtandao ulipewa nafasi ya kufanya makubwa na hakuna aliyeweza kufikiri ingekuja na madhara makubwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.