Recent content by skinning

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung Galaxy S3 Used nina 300,000/=

    Wakuuu samahani natafuta Simu ya Kununua aina ya SAMSUNG GALAXY S3 used( ila sio mbovu) nina Laki tatu(Tshs 300,000/=). Naomba msaada wenu kama inawezekana kwa mwenye nayo au anamjua mtu aliye nayo ambae naweza kupata kwa Bei hiyo!. AHSANTENI.
Back
Top Bottom