Recent content by sisqa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nunua Ticket kwa ajili ya WORLD FOOD DAY@GOLDEN TULIP-19TH OCTOBER,2013

    Nunua ticket za kwenda kuwaunga mkono siku ya chakula duniani na pia kufurahi na michezo na mashindano tofauti,pale Hoteli ya Golden tulip,siku ya jumamosi,tarehe 19 mwezi huu wa kumi.Ticket ni shillingi elfu kumi tu ila kama una pungufu ninaweza kukupunguzia pia.Twende tukafurahi jumamosi hii...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Shindano la kupika kwa kutumia chungu cha potjie,golden tulip hotel

    Potjie COOKING COMPETITION 2013 WORLD FOOD DAY FARMERS MARKET AT GODEN TULIP HOTEL ON 19TH OCTOBER Shindano la kupika kwa kutumia chungu cha Potjie(Chungu kidogo cha kupikia cha South Africa Origin) kama kinavyoonekana hapo kwenye picha.Tunatafuta watu ambao wangependa...
Back
Top Bottom