Recent content by Simulizi za Shafih

  1. Simulizi za Shafih

    SoC02 Aliyekupa mimi hakunipa leo ni chako tutumie sote

    Niliamka asubuhi na mapema sana kuwahi kazini. Nadhani ungeniona mida nnatoka nyumbani ungeamini mimi nnaondoka asubuhi sana kwelekea kazini lakini hapana sio kawaida yangu. Niliondoka asubuhi ile sababu ya kukosa usingizi usiku kucha nikiwa nawaza huku maisha ya familia yangu huku mke wangu...
  2. Simulizi za Shafih

    SoC02 Kesho yangu ni kesho kuu

    KESHO YANGU NI KESHO KUU. Mwandishi Simulizi za Shafih. Baada ya jogoo wa kwanza kuwika nilijinyanyua kitandani na kukaa kitako. Siku ile jogoo hakuniamsha usingizini Bali alinifanya nijue kuwa kumekwisha pambazuka. "Sasa nijiandae Kwa safari ya kibaruani"nilijisemea wakati nateremka...
Back
Top Bottom