Recent content by Shakira98

  1. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Umejibu vizuri sana
  2. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Hahaha! Haya baba Asante!
  3. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Yani hapo shida ni kujua wapi wanauza dawa ambazo ni sahihi zinatibu
  4. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Hongera dear
  5. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Ndugu naomba unicheki PM
  6. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Yes! Mtu ukiwa huna mwanaume wa maana useme mtasaidiana kujenga familia inabidi ukizaa ujitazame mwenyewe unaleaje, na Mimi bado uwezo huo Sina, nitazaa siwezi kulea nani analea sasa!
  7. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Kati ya hivyo ulivyosema vyooote nimefanya kimoja, Kutumia p2 tena nimetumia mara mbili tu! Na kwa tofauti ya miaka zaidi ya mitatu
  8. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Kumbe hata thread hujasoma mpka unaniuliza umri!
  9. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Ndugu yangu, Mimi ndo mwenye tatizo! Nifiche namkomoa nani, Mimi sijawahi tumia uzazi wa mpango aina yeyote Ile! Big nooooo!
  10. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Sio mzuri ndio! Hawanitaki! Kuna la nyongeza
  11. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Nimefanya surgery moja
  12. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Sawa
  13. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Unaweza kunambia kipi sijafinguka, Sisi watanzania sijui tupoje duuh
  14. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Hapa sasa umenishauri Cha kufanya
  15. Shakira98

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

    Mfano nilifanya upasuaji mwezi wa nane, hata kabla ya miezi sita umerudi tena, unawezaje kubeba mimba kwa muda huo
Back
Top Bottom