Recent content by Shake

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto

    Habari wanajf naomba mnisaidie Nina mtoto wa miezi 7 hataki kula kabisa na akila huwa anatapika nimempima hospital Hana tatizo lolote,sijui nifanyeje,namnyonyesha mpaka sasa ila hataki kitu chochote zaidi ya kunyonya,naomba Msaada.
Back
Top Bottom