Ninauza eneo, lina ukubwa wa EKARI MOJA, Eneo lipo KIMARA TEMBONI, jirani na kituo cha POLISI TEMBONI. Eneo Limezungushiwa UZIO(Fence), Lipo Umbali wa mita 400 kutoka morogoro road (dakika 8 kwa mwendo wa kutembea).
Huduma ya uhakika ya umeme, barabara na maji inapatikana. Uthibitisho wa...