Ahsante kwa kunifahamisha.nimefanya makosa kuweka post bila ya bei,nitajaribu kuedit nifanya hivyo kama inawezekana
Landa ni milioni 6.5
spindle ni milioni 6
combination machine (5-1) ni milioni 9
Maelewano daima yapo.
Habari zenu wana Jamii forum. napenda kuwajuilisha wale wanaohitajia mashine za mbao zenye ubora wasisite kuniona.Nina mzigo wa mashine nzuri na bei inayoridhisha.
Mashine tayari zishawasili Zanzibar na naweza kukufikishia scheme uitakayo kwa mujibu wa makubaliano.
Mashine zinatoka...
Habari zenu wana Jamii forum. napenda kuwajuilisha wale wanaohitajia mashine za mbao zenye ubora wasisite kuniona.Nina mzigo wa mashine nzuri na bei inayoridhisha.
Mashine tayari zishawasili Zanzibar na naweza kukufikishia scheme uitakayo kwa mujibu wa makubaliano.
Mashine zinatoka...
Habra Dokta.Mimi nipo Toronto,Canada lakini ni mwenyeji na mzaliwa wa Zanzibar.najishuhulisha na ununuwaji na utumaji wa bidhaa tofauti kati ya Toronto na Zanzibar.
Nikija kwenye suala lako Dokta unahitaji mashine kama tano ama sita kukamilisha workshop itakayokuwezesha kufanya kazi kisawasawa...
samahani 'ikipendaroho' kwa kuchelewa kukujibu.mashine ya landa nakufikishia zanzibar kwa milioni 6 .Iwapo utahitajia msaada wa kutuma hadi dar ninao vijana wa uhakika wanaoweza kukufanyia kazi yako hio.
Habari kwa Mara nyingine tena wanaukumbi. Napenda kuwajuilisha kuwa mbali na Mashine za mbao ambazo nishaziainisha katika posti iliyopita pia nipo na mipira mikubwa ya maji. Wanaoihitajia wanaweza kuwasiliana nami 1(647) 706 3114
Habari zenu wanaukumbi
Nipo na Mashine za mbao.kwa sasa nipo na planer 24 Inches.na table saw 10 inches
Mashine zipo katika Hali nzuri.planer ni almost mpya.bei Yangu ni nzuri.tuwasiliane kwa namba 1(647) 706 3114. Ahsanteni
Habari zenu.
Niliwahi kumuuzia mashine za gym Mzee wangu mmoja ambaye alikusudia kufungua gym kati ya Zanzibar na Dar.
Lakini kwa ninavyo fahamu ni kuwa hadi sasa bado hajaweza kuanzisha hiyo biasahara kutokana na sababu mbali mbali.
Machine nilizomuuzia ni heavy duty na zipo katika hali nzuri...
wateja walio nyumbani kuupata mazigo wao ni rahisi.
Binafsi natuma makontena yangu mwenyewe kati ya toronto na zanzibar.
Iwapo mteja tumefahamiana bei .itamlazimu mteja kuniachia deposit kwa mujibu ya mzigo anaoutaka.
Deposit hii ataieka in person pale mlandege zanzibar ambapo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.