Marekebisho: naona maswali yamekua mengi ni typing error wakuu naomba nisahihishe kidogo.
Gharama ya 500,000 ni kwa wote wanaofungua kamouni zenye mtaji wa sh. MILIONI 5 kushuka chini, sio milion 1...
Karibuni
Mkuu naweza kukutumia business profile ya section 20!? Nafikiri itakua na majibu ya maswali yote ambayo umeuliza, na itakutoa shaka pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kuelekea kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa rasmi kwa Section 20, tunatoa punguzo kwa watu wanaotaka kusajili kampuni katika jamhuri ya muungano wa Tanzania
Sajili kampuni yako sasa na Section 20 kwa gharama nafuu ya Sh 500,000 tu
Gharama hii imejumuisha
*Gharama za kulipia usajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.