Recent content by Sciertist A

  1. S

    SoC02 Ni nani wa kulaumiwa kwa vipato visivyotosheleza?

    Sababu za watu kukosa pesa ndio sera zisoangalia mfumuko wa bei, tuchukulie kwa mfano mishahara kwa wafanyakazi inopangwa mwaka 2012 ndio hio hio inayotumika leo 2022 na hali ya uchumi inakua imebadilika
  2. S

    SoC02 Ni nani wa kulaumiwa kwa vipato visivyotosheleza?

    Chakula, malazi na mavazi ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya mwanaadamu kwa karne nyingi, ijapokua karne ya ishirini na moja imekua na ziada ya mahitaji ikiingiza gharama za elimu, afya pamoja na mawasiliano kama ni mahitaji ya mwanadamu yasiyokwepeka. Jee kipato cha mtanzania maskini kinaakisi...
Back
Top Bottom