Recent content by Saraaah94

  1. Saraaah94

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga

    Ahsantee ndg yng
  2. Saraaah94

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nyonga na mifupa

    Hellw jmn naomba kusaidiwa mama angu anasumbuliwa sanaa na maumivu ya nyonga na xley imeonesha kwmb mifupa yake imepekecha sasa imefka hatua anapata maumiv makali sanaa mpk inapelekea kutembea huku ameinama... Jmn kama kuna dawa unaifaham naomba unisaidie
  3. Saraaah94

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga

    Hello guys Jamani nina shida jamani mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga na miguu. X-ray inaonyesha kwamba mifupa ya nyonga imepekecha jamani imefika hatua now anashindwa kabisa kutembea huku amenyooka yaani anainama. Kwa yeyote anayejua dawa jamani msaada
Back
Top Bottom