jaribu zoez hili linaweza kukusaidia,,, unapoamka asubuh hakikisha hujabanwa na haja yoyote ile,, kisha kaa kwny kiti chukulia kwamba umebwana na haja halafu sehem ya kujisaidia iko mbal,, fanya kama unabana mkojo hesabu mpaka tano kisha achia ,,, vuta hewa kwa pua na utoe kwa mdomo,, hakikisha...