Recent content by Salum Makamba

  1. S

    SoC02 Upatu/ VICOBA/ Marejesho na Afya ya wanawake

    IRINGA: Enea Mkimbo (55) Mkazi wa Kihesa Kilolo amejinyonga leo Septemba 14, 2022 chanzo kikidaiwa ni kuzidiwa na madeni ya VICOBA na usumbufu kutoka kwa Wanakikundi wenzie Septemba 13, 2022 alifuatwa na Wanakikundi wakimshinikiza kutoa pesa Soma - Iringa: Ajinyonga baada ya kuzidiwa na Madeni...
  2. S

    SoC02 Tanzia: Runinga ni muuaji mwenye sura ya kuvutia

    Shukrani sana ndugu yangu. Ahsante. Nitapita kuitazama makala juu ya kesho ya Afrika.
  3. S

    SoC02 Upatu/ VICOBA/ Marejesho na Afya ya wanawake

    Binti anayefahamika kwa jina la Johari Tarimo (32) mkazi wa kijiji cha Ndatu kata ya Poli Wilayani Arumeru, amejiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe kuwa amechukua uamuzi huo kutokana madeni ya vikoba ya jumla Tsh. milioni moja laki moja. Mume wa marehemu Paulo Bayo amesema mke wake alikuwa...
  4. S

    SoC02 Deni halipaswi kukimbiwa bali kulipwa

    Ndugu zangu, Nadhani neno ‘deni’ si geni machoni mwetu. Ni moja ya kitu mashuhuri katika jamii zetu. Wingi wa neno deni ni ‘madeni.’ Binafsi mtu akiniuliza deni ni nini, nitamweleza kuwa; Deni ni shurti (jambo la lazima kufanya) analovikwa au kujivika kiumbe awe hai au mfu. Ili twende sawa...
  5. S

    SoC02 Tanzia: Runinga ni muuaji mwenye sura ya kuvutia

    Kabisa mkuu. Ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa. Nyongeza makini sana hii.
  6. S

    SoC02 Upatu/ VICOBA/ Marejesho na Afya ya wanawake

    Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari. Garini palikuwa na abiria wachache waliotawanyika mithili ya punje za mtama zilizotoswa ardhini. Nami...
  7. S

    SoC02 Tanzia: Runinga ni muuaji mwenye sura ya kuvutia

    Mara nyingi ni ngumu kwa binadamu wengi kuchukua hatua mpaka jambo zito linapotokea aidha kwao au kwa watu wao wa karibu. Tena katika wakati tuliopo ambao wengi wetu tunaongozwa na hisia kuliko tafakuri za kina, imefikia hatua hata balaa linapomtokea mtu wa karibu tunayemfahamu basi hatujifunzi...
Back
Top Bottom