Recent content by Sakho

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 "Fedha iliyopo msituni" kauli ya baba

    Nisingeweza kufika hatua ya kuandika ndan ya jukwaa la jamii forums bila Mali ambazo zimepatikana msituni. Mimi ni mwanafunzi mwenye elimu ya chuo kikuu, mafanikio yangu yametokana na bidii ya baba yangu kupanda miti miaka ya nyuma sana ambayo imesaidia katika kunisomesha mimi na ndugu zangu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbolea yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha zaidi ya magunia 150 ya mazao mbalimbali kwa Ekari moja

    Sawa mwanasayasii, naona una content nchi iwatumie VIJANA kama ninyi
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya sayansi na teknolojia inawezekana, na ina mchango mkubwa katika kuendea kaulimbiu ya Tanzania ya viwanda

    Sawaa mkuu, na mm naomba nipigie kura bas kuna title mbili hapo
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini

    Makala nzuri sana nimekuelewa hata kama ni teknolojia ya juu serikali Haina bud kuthubutu
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini

    Uzi mzuri sana huu jamii forum fikishen uzi huu kupitia wizara ya afya ni sayansi na teknolojia nzuri mno
Back
Top Bottom