Recent content by safito

  1. S

    Kufanya mapenzi, kunyonyesha mtoto na kubemenda, Msaada tafadhali

    Mama anashauriwa anyonyeshe hadi mwezi mmoja kabla ya tarehe ya matazamio kujifungua. Kufanya tendo la kujamiaana hakuna kikomo. Kwa kawaida mama anapokuwa mjamzito ladha ya maziwa hubadilika kwa sababu ya ongezeko la Sodium (Na) kwenye maziwa. Ubora na thamani ya ubaki vilevile.
  2. S

    Kuepuka mimba

    Jumla ya siku za mzunguko toa 14 unapata siku ambayo lazima mama apate ujauzito kama hakuna shida yoyote. Siku Tatu kabla na baada ya siku hiyo kuna uwezekano wa kubeba ujauzito. Mzunguko unahesabiwa kuanzia siku ya kwanza ya hedhi hadi siku ya moja kabla ya hedhi nyingine. Usitumie kalenda ya...
  3. S

    Tiba ya Chango, Tumsaidie huyu mama

    Michango kwa akina mama Mara nyingi huwa ni muwasho kwenye pango la uzazi (chronic pelvic inflammatory diseases). Tiba ni kunywa antibiotics kwa muda wa wk 2. Uchunguzi zaidi kutumia ultrasound ni muhimu kwani kunaweza kuwa na uvimbe kwenye viungo vya uzazi.
  4. S

    wakati wa ejaculation (kupiga bao) manii yanatakiwa yatoke kwa kasi gani?

    Kwa kawaida mshindo wa kwanza utoka kwa kasi zaidi kuliko zinazofuata. Kikubwa zaidi ni kutoa viable sperms.
  5. S

    Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Usishirikiane taulo ama sabuni ya kuogea. Nguo za ndani ziwe za Pamba na zisizopana hata kidogo
  6. S

    Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Hakikisha sehemu za siri zinakuwa kavu muda wote, osha mikono kabla na baada ya kushika/ kujikuna sehemu za siri. Tumia cotrimazole cream.
Back
Top Bottom