Jaman nahitaji msaada ujauzito wangu sasa ni week ya 39, ninapofanya zoezi la kutembea naumia sana kiuno na chini ya kitovu hadi nikikaa kusimama naumia sana chini kunakuwa kunavuta kwa maumivu makali sana, nikitembea kama dk 20 naanza kutembea kwa kujivuta nakuwa nashindwa kutembea normal...
Mimi nina ujauzito wa week 38 nasumbuliwa sana na maumivu ya chini ya kitovu kama period vile, kiuno na mgongo pia na kutokwa na ute mweupe mara kwa mara! Pia naomba kujua ni mazoezi ya aina gani yatafaa kwa kipindi hiki. Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.