Recent content by Rozney

  1. R

    SoC01 Unaweza kufanya hicho unachokitamani kifanyike ila fumbia macho hicho unachoona ni kikwazo kwako

    UNAWEZA KUFANYA HICHO UNACHOKITAMANI KIFANYIKE ILA FUMBIA MACHO HICHO UNACHOONA NI KIKWAZO KWAKO. Watu wengi wamekuwa wakitamani kufanya vitu vikubwa na vizuri na pia huenda ni vipya lakini wanakata tamaa baada ya kutazama maumbile, umri, kabila, jinsia na hata hali ya kimaisha na mwisho...
  2. R

    SoC01 Mabadiliko Chanya Tanzania yanawezekana

    UNAWEZA KUFANYA HICHO UNACHOKITAMANI KIFANYIKE ILA FUMBIA MACHO HICHO UNACHOONA NI KIKWAZO KWAKO. Watu wengi wamekuwa wakitamani kufanya vitu vikubwa na vizuri na pia huenda ni vipya lakini wanakata tamaa baada ya kutazama maumbile, umri, kabila, jinsia na hata hali ya kimaisha na mwisho huishia...
  3. R

    SoC01 Mabadiliko Chanya Tanzania yanawezekana

    Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika huduma mbalimbali kabla na baada ya uhuru, kabla ya uhuru huduma zilikuwa zikitolewa zaidi kwenye maeneo ya shughuli za kiuchumi kama miji na mashamba makubwa, baada ya uhuru, huduma mbali mbali zimekuwa zikisambazwa kila eneo ili kuwafikia watu wengi zaidi...
Back
Top Bottom