Recent content by roseskyler

  1. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vinauzwa

    Hahahhahaha ushanitaarifu ukija sikupi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vinauzwa

    Tatizo ukiweka namba sio wote watakaokufata kwa uhitaji Wa kununua vitu ..kila MTU na akili yake wengine wanapenda tu kusumbua wenzao...km kwl mtu unahitaji njoo pm tutapeana namba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vinauzwa

    Picha nishatuma kwenye comment...napatikana Kinondoni atakayehitaji atanifata pm Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vinauzwa

    Kama huwezi nunua kaa kimya Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vinauzwa

    Laki na tisini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vinauzwa

    Vipo Kinondoni mkwajuni Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vinauzwa

    Habari wapendwa ! Kuna Vitu used nauza vimetumika kwa mda Wa miezi mitano •dressing table •kitanda cha chuma cha 5 kwa 6 •na TV show case Mwenye huitaji anicheki pm Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom