Recent content by Ronald Ngowi

  1. R

    JamiiForums Naomba nijuzwe endapo katika hali hizi mtu anaweza kupata maambukizi ya ukimwi

    Ndugu yetu ameathirika na ukimwi mda mrefu sana sasa amekuwa kama amechanganyikiwa. Anajichoma na sidhano anachoma watoto wamekuja gundua jana. Ndio nikataka niulize kwa ndugu zangu umu wenye uelewa zaidi. Ila alikuwa anatumia dawa siku zote. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Naomba nijuzwe endapo katika hali hizi mtu anaweza kupata maambukizi ya ukimwi

    Habari zenu, naomba kuuliza. Mtu aliye athirika anayetumia dawa kwa mda mrefu akijichoma na sindano alafu akamchoma mtu asiye na maambukizi je mtu anapata virus? Na damu ya mtu mwenye vizur ikimwagikia kwenye juice mtu akainywa anaweza mtu akapata maambukizi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom