Mwanangu, tazama mzazi wako nimeshakuwa mzee, umri umenitupa mkono. Meno yangu yote yamebongonyoka, siwezi hata kutafuna mnofu. Nguvu za mwili nazo zimeniisha, siwezi tena kusimama na kutembea vizuri kama kipindi cha ujana wangu. Ubaya, nimekuwa mzee masikini, uzee wangu umekuwa wa majuto na...