Wana Jamii,
Nimeamua kuandika hapa nikiomba ushauri na maombi kwa sababu nina tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu.
Tatizo langu:
Kwa miezi kadhaa sasa, nimekuwa nikisikia sauti na muziki masikioni (hasa wakati wa usiku au mahali penye utulivu).
Sauti zinaweza kuwa za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.