Asante mkuu kwa ufafanuzi wako, kwa maelezo ya Dr ni kuwa sindano hizo zinaitwa panaduu(sijui kama niko sahihi) kwa maelezo yako ndio hizi sindano nazochomwa?
Sent using Jamii Forums mobile app

Nishaachana naye kwani sikuwahi kutana na mwanamke mwingine na siku tunakutana mara ya kwanza ilikuwa baada ya vipimo vyote kuwa sawa. Nimekutana naye kipindi hiki ndio nikakutana na kadhia hii nilipomshirikisha akaruka mita mia kwamba namsingizia. Sikutaka makuu nimechagua kuachana naye
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.