Recent content by Richard Rabbo

  1. R

    Natafuta eneo Kibaha

    Mkuu mimi ninazo ekari tano zipo kongowe kijiji cha soga maeneo ya mradi wa reli ya kisasa unakojengwa (railway standard gauge) Kilimeta 7 kutoka kongowe mwisho na miundo mbinu mhimu kama vile maji, umeme, barabara nzuri na safi zinapatikana na huduma za kijamii kama vile zahanati zipo na eneo...
  2. R

    Shamba linauzwa Kongowe - Kibaha

    shida ipo wapi mkuu hapo kwenye hiyo bei?
  3. R

    Shamba linauzwa Kongowe - Kibaha

    Shamba lipo eneo la kijiji cha Soga-Kongowe Kibaha karibu na panapojengwa mradi wa reli ya kisasa ya standard gauge. jumla zipo ekari tano na kila ekari moja ni shilingi milion sita (6,000,000/=) mazungumzo yapo. huduma muhimu kama maji, umeme na barabara safi zinapatikana na pia karibu na...
  4. R

    Shamba linauzwa Kongowe Kibaha

Back
Top Bottom