Boss utakuwa umechanganya kampuni, sio vzuri kuchafua kazi za watu bila sababu za msingi, Tumefanya kazi na watu humu zaidi ya 25 wengine wapo Vyuo vya china, Malaysia na wengi Sana kutoka vyuo cha ndani, wakiiona hii comment yako watakuja kutoka ushahidi wa namna tulivo na tunavyofanya nao kazi...