Recent content by Remediogabikwa

  1. Remediogabikwa

    JamiiForums Je, kuna aina ya wadudu wanaosababisha AMIBA ambao wanaweza kupanda moja kwa moja kwenye mapafu na kusababisha mtu kushindwa kupumua pia kukohoa damu?

    Baada ya kufanya kipimo cha CT-Scan ilionesha uvimbe wa pafu doctor alisuggest nifanye bronchoscopy, baada ya hapo nilienda tena BUGANDO HOSPITAL ili kupata rufaa ya kwenda MUHIMBILI, lakini nilipo kutana na specialist: Prof, Maalu alinielekeza kufanya kipimo cha CT-guided BIOPSY! Baada ya...
  2. Remediogabikwa

    JamiiForums Je, kuna aina ya wadudu wanaosababisha AMIBA ambao wanaweza kupanda moja kwa moja kwenye mapafu na kusababisha mtu kushindwa kupumua pia kukohoa damu?

    Ninaumwa kifua miaka 3 sasa ilionekana uvimbe kwenye pafu la kulia lkn wakipima hawaoni kitu, ninashindwa kupumua na ninakohoa damu! Ila awali nilipima wakasema nina wadudu wengi wa amiba ambao wamepanda kwenye pafu! Sasa nilitumia dawa zaid ya mara 7 ila sikupata nafuu! Mpaka sasa ninashindwa...
Back
Top Bottom