Recent content by relyyy

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napatwa na maumivu makali kifuani kama nachomwa kisu

    Asante sana nitafanya hivyo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napatwa na maumivu makali kifuani kama nachomwa kisu

    Nina tatizo la Maumivu ya kifua upande wa kushoto takriban miezi mitatu sasa, kwa mbali panafanya kama uvimbe. Hali hii nimesumbuka hospitali bila msaada wowote, napewa dawa za maumivu sababu vipimo nilivyopima ni Echo na ECG navyo nimeambiwa viko normal kabisa. Sasa hivi maumivu yamehamia...
Back
Top Bottom