Recent content by Reevette

  1. R

    JamiiForums Msaada: Nina tatizo la kuyumbayumba kama mlevi na situmi kilevi

    Kuna kipindi kinaitwa 'diagnose me' ambacho ni cha watu wenye magonjwa adimu na jinsi walivyotibiwa. Kesi kama hii imewahi kuonyeshwa na huyo mtu aliambiwa kuwa tatizo lake ni excessive yeast. kiwango cha amira kwenye utumbo wake kilikuwa asilimia mis nne zaidi. Waweza kufuatilia hiyo kesi...
  2. R

    JamiiForums Tiens tianshi products 'Dawa za kichina '

    poa you are welcome..i hope utapata msaada unaouhitaji
  3. R

    JamiiForums Tiens tianshi products 'Dawa za kichina '

    mi nimeshawahi kutumia products zao na ni nzuri sana...ofisi za arusha zpo sanawari....af namba ya tiens ni +255768536098....hiyo namba nmeitoa kwenye facebook page yao...tiens in tanzania
  4. R

    JamiiForums Utafanya nini kuboresha mwonekano wako zaidi?

    mwonekano mzuri ni jinsi tu unavyojiweka mwenyewe ....vaa nguo znazoendana na mwili wako...ambazo znaficha sehemu za mwili wako usizozipenda wewe na kuangaza zle unazozipenda...hii yakupa confidence ambayo ni nzur kwa muonekano wako.. ukivaa accesories mfanoshanga, bangili na vitu kama hivyo...
  5. R

    JamiiForums Dawa ya kuzuia kutokwa na majasho mengi kwapani

    1. Kunywa maji mengi na other fluids mfano..maji ya nazi na maji ya ndimu 2. mafuta ya nazi pia pia yanapunguza hilo jasho na harufu pia 3. kata ndimu nusu af unaisugua kwapani ukienda kulala au pia waweza kuviacha tu kwapan hadi asubuh..ukipaka mchana makwapa yako yatakuwa meusi 4. changanya...
  6. R

    JamiiForums Msaada kuhusu dental clinic zenye bei nafuu na huduma zenye ubora

    Hello people, Im 21 na nina matatizo na meno yangu. Hayajajipanga vizuri. I was looking into wearing braces but all the dental clinics nimeenda are just too expensive for me. Ya kwanza was costing like 3.2 million per arch ya pili wanaanzia laki tisa per arch. I need a dental clinic that...
Back
Top Bottom