Recent content by Rebecca97

  1. R

    SoC02 Elimu ya kujitambua kwa Binti wa Kitanzania

    Kama serikali na wazazi wakifanyia kazi mambo haya Kwa 100% basi Kuna mahali tutafika mbali sana
  2. R

    SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    Asante sana kwa maoni Unajua hakuna namna tunaweza kudai tuna maisha bora kama bado suala la utawala bora halijashughulikiwa ipasavyo
  3. R

    SoC02 Elimu ya kujitambua kwa Binti wa Kitanzania

    ELIMU YA KUJITAMBUA KWA BINTI WA KITANZANIA. Pamoja na juhudi za serikali kuwekeza zaidi katika kumpatia mtoto wa kike elimu ya darasani (shuleni ) lakini bado tunaona kuwa namba ya mabinti walioishia njiani na kukatisha masomo yao kwa miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikiongezeka siku baada ya...
  4. R

    SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    Kama ukiguswa na ujumbe wangu tafadhali usipitie bila kunipa kura yako kwa kubonyezqma kidude chenye alama hii [^] chenye rangi ya kijani chenye ya makala yangu…
  5. R

    SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    Tayari nimeshakupa kura yangu
  6. R

    SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA? Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu sana ili kuhakikisha kuwa shughuli zote zinazofanyika katika eneo husika zinaenda sawa chini ya...
Back
Top Bottom