Jioni ya leo tu nilikuwa natembea kwenye njia nyembamba ya kichaka, ghafla nikakosea nikakanyaga Mchwa 🐜 mkubwa ... Mara nikaondoa mguu wangu, nikagundua nimemuua, lilikuwa kosa ingawa nikaendelea nilipokuwa nikienda.
Baada ya sekunde kadhaa akili yangu ikaanza kunisumbua, ningewezaje kumuua...