I hope nyote n wazima napenda kulileta swali hili kwenu wataalam wa mambo.... Mvulana akiwa ana sexyy alafu ikafka hatua ya ku ejaculate akaamua kujibana ili msicha aanze yeye je? Kitendo cha huyu mvulana kujibana na kuzirudsha mbegu zake ndan..... Kina weza kumletea matatizo katka mfumo wake wa...
Habar wana JF: Wataalam wa mambo naomba msaada wenu hapa: Cholera (kipndupndu) ni ugonjwa unao sambazwa na Bacteria wajulikanao kama Vibro-Cholera ...... Tafsri ya ugonjwa huu huwapata wale watu walao vyakula vichafu, swali langu n: kwanin Madman (vichaa). Hawapati ugonjwa huu wakat wao ndio...
Habar za Saa hiz wana jf napenda kuuliza na kutambua. Mwanamke anauwezo wa kutambua kama amesha nasa ujauzito ndani ya sku ngap? Toka suku ya mimba ilipo tunga. Ahsanten sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.