sisi ni waandaaji wasimizi na watoa huduma katika shughuli mbali mbali kama vile sherehe, send off, kitchen part, vikao, mikutano, misiba, birthday party, nk
Pia tunatoa huduma kama vile muziki, MC, ukumbi, chakula,vinywaji, mapambo, wahudumu, video and photoshooting, pasina kusahau tunakodisha...