You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly. You should upgrade or use an alternative browser.
RALC255
Rubik Attorneys & Legal Consultants (RALC) ni ofisi ya sheria inayojishughulisha na masuala mbalimbali ya kisheria kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya uwakili, ikiwemo uwazi, weledi na uadilifu katika kuhudumia wateja wake. Ofisi yetu inahakikisha kuwa inatoa huduma kulingana na mahitaji halisi ya kila mteja, kwa kuzingatia sheria, maadili na haki.
Katika utendaji wetu wa kila siku, RALC tunahusika na kazi za kisheria katika maeneo mbalimbali ikiwemo:
Sheria za michezo na burudani
Ulinzi wa taarifa binafsi na sheria za usalama mtandaoni
Haki miliki (Intellectual Property)
Uwakilishi katika mashauri ya kisheria (litigation)
Masuala ya ardhi na mali isiyohamishika
Ushauri wa kisheria katika masuala ya kampuni, kodi na uzingatiaji wa sheria
Pia tunashughulikia masuala yafuatayo kwa mujibu wa sheria:
Kuandaa, kupitia na kushuhudia mikataba na nyaraka mbalimbali
Kutoa huduma za uthibitisho wa nyaraka (attestation & certification)
Kuandaa viapo (affidavit), hati ya kukana jina (deed poll) na wosia
Kushughulikia usajili wa biashara na makampuni
Kwa kadri ambavyo sheria inaruhusu, RALC hujitolea pia katika kuchangia haki na usawa kwa kutoa msaada wa kisheria kwa watu wasio na uwezo na waliokidhi vigezo.
RALC – Tumejikita katika kuhakikisha haki za mteja wetu zinalindwa na kila anayehitaji msaada wa kisheria anapata huduma stahiki kwa mujibu wa sheria.
Occupation
OFISI YA MAWAKILI | LAW FIRM
Signature
Robik Attorneys & Legal Consultants OFISI YA MAWAKILI|LAW FIRM 📞 0683505715
Following
Followers
Trophies
25
Somebody Likes You
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
20
First Message
Post a message somewhere on the site to receive this.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.