Recent content by Rakhshan Ally

  1. Rakhshan Ally

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Habari zenu?jamani naomba mnisaidie dawa za asili ya kumfanyia mtoto ili awe mnene kwa anaejua naomba anisaidie
  2. Rakhshan Ally

    SoC01 Utetezi wa haki za watoto wa mitaani

    Utetezi,ni mchakato wa kupata msaada mkubwa kwa sababu fulani au sera fulani yaani kuwapa watoto wa mitaani sauti kwa kuwataka wawe na nguvu na ushawishi wachukue hatua ili waweze kujitetea na kuhakikisha kuwa wanasikilizwa matatizo yao katika jamii. Kazi yetu ya utetezi inashirikiana na watu...
Back
Top Bottom