“Baba, usiniache, tafadhali!?” nilikumbuka maneno yangu siku ile baba alipofariki. Kifo chake kilikua cha kusikitisha, ngozi yake dhaifu ili babuka kwa joto, siku zile za jua kali. Sikua na jinsi ya kumuokoa, hali yake ya ualbino ilifanya yeye ndio awe dhaifu zaidi kwenye lile joto kali...