Kwanza kabisa ili udharaulike lazima uheshimike. Wewe Mzee Mwanakijiji unatumika kisiasa utapata wapi heshima? Nenda mkale hela za Escrow anozogawa mzee wa Mtama ila mwisho wake ni mwezi wa saba
Usihadahe watu wewe, The issue ni Regime uliyolamba miguu na kumfunga Prince viatu ndiyo inaondoka. Hata kwa bahati mbaya ikitoke asiingie Mh. Lowassa. Watanzania tuna uhakika kwa asilimia kubwa hataingia Membe wala Migiro ambao ndiyo watakumbatia uozo wa Regime hii.
Usidhani hata siku moja...
Upotoshaji siyo mzuri, Na ndiyo maana umehamua kutumia ID yako mpya ili upotoshe vizuri, kama unadhani unachosema ni kweli tumia ID yako ya zamani ili upigwe life ban
Huyu dogo anadhani akichukua mtu mwingi kuacha lowassa atapona, awe makini na ushabiki wa kimasaburi, ajifunze kutoka Zambia na Malawi, hand picked ziliwapeleka retired kunyea debe, Wahenga walisema Zimwi likujualo halikuli likakwisha, dogo umelewa na madaraka yanaisha less than four months.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.