Recent content by Post1000

  1. P

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Pamoja sana dokta wangu, huku kila kitu ni salama ila umepotea sana hapa jamvini
  2. P

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Sisi tunaendelea vizuri mkuu ila nimekutafuta katika simu sikukupata
  3. P

    Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

    Samahani, je mama mjamzito anaweza kuitumia bila kumletea madhara hii dozi yako?
  4. P

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Mimi ni mmoja wapo, nimefarijika sana na lazima nitampa zawadi
  5. P

    Nyumba 3 zinauzwa dar es salaam

    TUKUTUKU ni vigezo gani ulivyotumia kupaita huko ni uswazi?, ni wapi nikikutafutia nyumba hapa Dar utanunua?
  6. P

    Nyumba 3 zinauzwa dar es salaam

    Hapo tumeelewana sasa bwana TUKUTUKU, Je umeipenda ipi kati ya hizo 3?.
  7. P

    Nyumba 3 zinauzwa dar es salaam

    TUKUTUKU, umesoma tangazo lote vizuri?
  8. P

    Nyumba 3 zinauzwa dar es salaam

    Makengeza bado yapo?
  9. P

    Nyumba 3 zinauzwa dar es salaam

    Nyumba ya kwanza: • Vyumba 3 kimoja kati ya hivyo ni Master • Seating room 1 • Jiko 1 • Store 1 • Umeme • Maji • Parking 1 • Mita 200 toka barabara ya lami inafikika kwa gari Bei: milioni 54 Nyumba ya pili: &#8226...
Back
Top Bottom